โ† Back to confessions
Y
Yamoyoni
โ† Back to confessions
Confession

ID 83F57C

Published 4 weeks ago ๐Ÿ‘ 74 ๐Ÿ’ฌ 0

Mimi ni mama mwenye watoto watatu na nina umri wa miaka 38. Mwaka 2018 nilimpoteza mwanaume wangu mzuri aliyekua mpambanaji sana na muwajibikaji haswa, na mpaka anafariki, alituachia nyumba mbili, moja tunakaa na nyingine tumeipangisha. Alituachia pia gari aina ya harrier pamoja na kiasi cha fedha kama 64M.

Huyo mwanaume wangu aliyefariki kazi zake alikua anafanyia migodini huko chunya, na wakati wa kumaliza msiba wake yaani matanga, mama mkwe na ndugu wengine wa mume waliamua kutochukua mali yoyote ile, walisema vyote vibaki kusaidia familia na watoto, nilifurahia uwamuzi wazo japo hiyo familia sio njaa njaa ni wanajiweza sana.

Keep reading

Sign in to read the full confession

Create an account or log in to unlock the rest of this story.

Daily reads: 10/10 ยท resets 15 hours from now