Jamani yaliyonikuta hapana kweli, ni majonzi majonzi na sijui nifanyaje, mimi ni mwanamke na nina miaka 43 sasa na nina watoto watatu niliowahi kuzaa. sasa ipo hivi, kipindi nipo shule mdogo mdogo nilipata ujauzito, ikanisumbua sana na hali...
You've reached the free browsing limit. Check back tomorrow or grab the mobile app once it drops. Thanks for keeping the community thriving.
Habari familia... tafadhali, nahitaji ushauri. Mimi ni mwanaume niliyeoa, nina umri wa miaka 43. Kwa miezi michache sasa, nilianza mahusiano ya siri na wasichana wadogo wa pembeni, kwa ajili ya kupumzika. πYule ni...
Mimi ni mama mwenye watoto watatu na nina umri wa miaka 38. Mwaka 2018 nilimpoteza mwanaume wangu mzuri aliyekua mpambanaji sana na muwajibikaji haswa, na mpaka anafariki, alituachia nyumba mbili, moja tunakaa na nyingine tumeipangisha. Ali...
Habari jamani, wacha niende moja kwa moja, mimi na mwanamke na nimeolewa, na nina rafiki yangu tunashibana sana lakini nilikuja kugundua kitu ila nashindwa nafanyaje kuhusu hilo jambo, yaani iko hivi. Yani hivi kari...
Wazima jamani, nimekuja hapa na simulizi yangu nataka niwasimulie, jinsi ilivyonifanya nijione sina bahati ya mapenzi. nilikutana na huyu kaka, ndo yalikua mahusiano yangu ya kwanza kabisa. Huyu kaka yeye alikua amemaliza c...
Habari, mimi na msichana wa miaka 20, sijui nianzie wapi, naumia sana sana, lakini naamini kwenu naweza pata faraja. Natokea mkoa wa kagera na nilikuja Dar kufanya kazi za ndani, nipo maeneo ya mbagala kwa sasa ambapo ndo ninapofanyia kazi....
Nina umri wa miaka 39 na nimekuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka miwili hivi. Kitu pekee nilichofanya ni kumpenda mke wangu kwa dhati. Nilimpenda zaidi alipobeba ujauzito. Lakini nilishtuka na kuvunjika moyo sana nilipoona mtoto wetu ana ng...
Miaka mitano iliyopita, maisha yangu yalibadilika ghafla. Mwanangu aliyekuwa kijana alikuwa ameficha jambo kwa hofu kubwaβalimpa msichana mimba. Msichana huyo alitoka kwenye familia tajiri sana, na hatukujua kabisa kuhusu ujauzito huo hadi...
Nilimpa mume wangu figo yangu. Mwaka mmoja baadaye, aliwasilisha talaka. Ilivunja moyo wangu kabisa. Tulifika mahakamani, na kila mtu alitarajia hasira, lawama, vurugu β mwanamke aliyetoa sehemu ya mwili wake, na mwanaume aliyeondoka mara t...
Nilimwoa mume wangu kwa upendo mkubwa sana, nikiwa na uhakika kuwa ndoa ni ushirikiano wa kweli. Nilipata mimba, tukafurahi wote. Lakini baada ya kujifungua, kila kitu kilibadilika. Alianza kunitazama kama mzigo. Aliniambia mtoto hafanani n...
Sign in to unlock more confessions
You've hit the guest limit. Create an account or log in to keep scrolling.