โ† Back to confessions
Y
Yamoyoni
โ† Back to confessions
Confession

ID 179DEF

Published 1 month ago ๐Ÿ‘ 82 ๐Ÿ’ฌ 0

Wazima jamani, nimekuja hapa na simulizi yangu nataka niwasimulie, jinsi ilivyonifanya nijione sina bahati ya mapenzi. nilikutana na huyu kaka, ndo yalikua mahusiano yangu ya kwanza kabisa.

Huyu kaka yeye alikua amemaliza chuo na anasubiri ajira, mimi kipindi hicho nilikua nimemaliza kidato cha nne ila sikuendelea na masomo. Basi penzi letu lilianza vizuri na kaka watu hakua na uwezo mzuri wa kifedha na alikua akiishi kwao lakini niliamini ipo siku karibuni atapata kazi na maisha yatakua mazuri.

Keep reading

Sign in to read the full confession

Create an account or log in to unlock the rest of this story.

Daily reads: 10/10 ยท resets 15 hours from now